UONGOZI WA ODM KWENYE RATILI
Misukosuko ya uongozi imeanza kukikumba chama chama cha ODM, baadhi ya wanachama wakiwasilisha ombi kwa bodi ya uchaguzi ya chama hicho wakimtaka kinara mpya Oburu Odinga ajiuzulu mara moja.
Kwa mujibu wa wanachama hao wakiongozwa na Rachel Tabitha, Odinga amekiuka katiba ya chama hicho mbali na kudhoofisha demokrasia chamani.
Wameipa bodi hiyo siku 30 kuangazia malalamishi yao la sivyo wakigure chama hicho.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































