#Local News

BIASHARA YA POMBE KARIBU NA SHULE IFUNGWE

Kamishina wa kaunti ya kakamega Michael Mwangi amewataka wamiliki wa  vilabu vilivyoko karibu na taasisi za elimu kuvifunga mara moja.

Akizungumza katika hafla ya elimu Mwangi amesema ni hatia ya wamiliki hao kuendesha biashara ya aina hiyo karibu na wanafunzi.

Mwangi vile vile amewataka wazazi katika kaunti hiyo kutilia maanani elimu ya wanao na kuhakikisha walifikisha umri wa kuenda shule wanapekelekwa shuleni.

Imetayarishwa na Janice Marete

BIASHARA YA POMBE KARIBU NA SHULE IFUNGWE

SIKU YA CLUB FOOT DUNIANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *