STARLETS KWENDA KAMBI KWA WIKI TATU
Rais wa FKF Nick Mwendwa amesema Juniour Starlets watakuwa na kambi ya wiki tatu ya mazoezi ya huko mandera ya uhispania kabla ya kombe la dunia la wanawake walio na umri chini ya miaka 17
Mwendwa vile vile amedhibitisha kwamba Harrambee stars itacheza katika mashindano ya Kosafa huko port Elizabeth Africa Kusini mwezi huu baada ya kupata mwaliko kutoka kwa shirikisho la soka la afrika kusini
Imetayarishwa na Nelson Andati
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































