#Local News

WANAFUNZI MILIONI 10 KUNUFAIKA NA MPANGO WA CHAKULA 2030

Wanafunzi zaidi ya milioni 10 wanatarajiwa kufaidika na mpango wa chakula kwa wote, ambao Wizara ya Elimu inapanga kuzindua ifikapo mwaka 2030.

Kwa mujibu wa Katibu Msimamizi wa wizara hiyo, Florence Aboyit, mpango huo utaanza kutekelezwa mara baada ya kukamilika kwa sera itakayotoa mwongozo wa kisheria.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *