#Local News

GACHAGUA; SERIKALI IMEWEKEZA KATIKA VIFAA VYA MATIBABU

Serikali imeweka mikakati wa kuanzisha mpango mpya wa bima ya afya kwa wakenya wanaougua magonjwa sugu kama vile saratani.

Akithibitisha mpango huo naibu wa rais Rigathi Gachagua amesema serikali inawekeza katika vifaa vya matibabu ili kusaidia katika kutambua mapema ugonjwa wa saratani.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *