‘MAANDAMANO YA PUNDA’ LAMU
Wakazi kisiwani Amu kaunti ya Lamu wameendeleza maandamano dhidi ya mswada wenye utata wa kifedha wa mwaka 2024, wakati huu wakitumia punda kuandamana wakitoa lalama zao kuhisiana na mswada huo.
Wakati wa maandamano hayo, wakazi hao wamehofia kukamndamizwa kiuchumi iwapo mswada huo utapitishwa, na kuwakosoa wabunge wao waliopiga kura ya ndiyo na kupitishwa mswada huo kwa awamu ya marekebisho.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































