KENYA YATAMAZAMIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA UCHINA
Kenya inatarajia kuimarisha uhusiano wake wa kiuchumi na uchina huku rais william ruto akiongoza ujumbe kwenye mkutano wat isa wa baraza la ushirikiano kati ya kati ya uchina na afrika.
Kenya na uchina pia zinalenga kuafikianakuhusu msaada wa maendeleo ya miundo mbinu ikiwa ni Pamoja na ujenzi wa barabara za mashambani , mfumo wa usafiri jijin I Nairobi Pamoja na kuhitimisha mijadala kuhusu miradi mipya ya ushirikiano kama vile upanuzi wa SGR.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































