#Local News

SHIDA HAZIANZI LEO, MBADI ASEMA

Waziri wa fedha John Mbadi, ametetea utendakazi wa serikali ya Kenya Kwanza akisema serikali hiyo inafanya kazi bora ikilinganishwa na serikali iliyiopita.

Akizungumza katika eneo la Suba West, Mbadi amewashutumu wakosoaji wa serikali ya sasa, amekariri kuwa changamoto za kiuchumi za sasa zilishuhudiwa pia wakati wa utawala uliopita.

Aidha, amesema serikali imetoa mgao wa kutosha kufanikisha ukuaji wa sekta za kahawa na majani chai.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SHIDA HAZIANZI LEO, MBADI ASEMA

RAILA: NIKO NA RUTO HADI 2027

SHIDA HAZIANZI LEO, MBADI ASEMA

SERIKALI YATOA CHANGAMOTO KWA SMES

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *