KDF: HATUPEANI AJIRA
Jeshi la Kenya la ulinzi limeonya umma dhidi ya kuhadaiwa na tangazo ghushi kuhusu ajira katika jeshi
KDF imejibu tangazo lililotolewa mitandaoni kwamba wizara ya ulinzi inaajiri wafanyikazi kuanzia agosti 26.
Grace Mwanja mkurugenzi msaidizi wa mawasiliano katika wizara ya ulinzi amesema kuwa KDF haijatangaza wala haifanyi zoezi lolote la kuajiri kwa wakati huu.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































