CJ KOOME ATOA HATUA 7 ZA USALAMA MAHAKAMANI
Jaji Mkuu Martha Koome ametaja hatua za usalama zitakazotekelezwa katika mahakama zote kufuatia kupigwa risasi kwa Hakimu Mkuu Monica Kivuti katika Mahakama ya Makadara.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari Koome amesema kuwa polisi wa Mahakama kwa kushauriana na inspekta generali wa polisi watafanya msako mkali ili kuhakikisha kwamba hakuna mtu atakayefika mahakamani akiwa na silaha.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































