#Sports

TETESI ZA UHAMISHO ZA LIGI YA PREMIA 

Klabu ya Napoli ipo katika hatua za mwisho za kumsajili mshambuliaji wa Manchester United Rasmus Hojlund kwa mkopo ikiwa na kipengele cha kumsajili kikamilifu mwaka wa 2026

Nayo Klabu ya Manchester City ipo karibu kukubaliana na PSG Ili kuweza kumsaini kipa Gianluigi Donnarumma kwa dau la pauni Millioni 30-35, Donnarumma anatarajiwa kusaini mkataba pale City iwapo golikipa Ederson ataondoka Etihad.

Imetayarishwa na Nelson Andati.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *