WAZIRI MKUU WA MALASYA NCHINI
Ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Kenya na Malaysia unatarajia kuimarika kutokana na ziara ya Waziri mkuu wa taifa hilo Anwar Ibrahim, ambayo inaanza rasmi hii leo baada yake kuwasili hapo jana.
Kwa mujibu wa Rais William Ruto aliyempokea Waziri huyo mkuu, Kenya inalenga kujifunza mengi kutoka kwa taifa hilo hasa kuhusiana na masuala ya miundomsingi na makazi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































