#Local News

CHANGAMOTO ZA MDHIBITI WA BAJETI

Uhaba wa fedha katika afisi ya mdhibiti wa bajeti ya serikali ndicho kikwazo kikubwa katika utendakazi wa afisi hiyo.

Haya ni kwa mujibu wa mdhibiti wa bajeti hiyo Margaret Nyakang’o, akiwa mbele ya kamati ya fedha katika bunge la seneti ambvako amesema mara nyingi hulazimika kutekeleza nusu ya majukumu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

CHANGAMOTO ZA MDHIBITI WA BAJETI

KWA KUMBUKUMBU ZA CARLES MINARRO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *