#Local News

KEMSA YATAMBUA KAUNTI 11 BORA

Mamlaka ya KEMSA imetambua kaunti 11 ambazo zimeipa sekta ya afya kipau mbele katika bajeti zake.

Kaunti hizi ni pamoja na Machakos,Kitui,Elgeyo Matakwet,Nyeri,Meru,Narok,Kisumu Busia Mandera na Turkana.

Afisa mkuu mtendaji wa KEMSA Dkt Waqo Ejersa anasema kaunti hizo zimetenga fedha za kutosha kwa ununuzi wa dawa na vifaa vingine vya matibabu kutoa malipo yao kwa kwa wakati unaofaa.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

KEMSA YATAMBUA KAUNTI 11 BORA

MASOMO YA WANAFUNZI NJIA PANDA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *