#Local News

RUTO AAPA KULINDA JESHI

Rais William Ruto amehimiza juhudi za Pamoja katika kuhakikisha usalama wa taifa, na kuwataka wakenya kujiepusha na mijadala kuhusu jeshi la ulinzi kiholela.

Rais ameyasema haya katika chuo cha kutoa mafunzo ya kijeshi eneo la Lanet kaunti ya Nakuru ambako ameongoza hafla ya kufuzu kwa wanajeshi wa kiwango cha Cadet.

Amesema serikali itafanya kila iwezalo kulinda jeshi dhidi ya kile alichokitaja kuwa kuchafuliwa jina.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO AAPA KULINDA JESHI

TEUZI ZA RUTO ZAIDHINISHWA

RUTO AAPA KULINDA JESHI

“WAZIRI AWEKWE DARASANI”

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *