WAFANYIKAZI WA ANGANI WAGOMA WAKIPINGA MPANGO WA ADANI

Usafiri wa angani umetatizika baada ya wafanyikazi wa uwanja wa ndege wa JKIA kuanza rasmi mgomo wao.
Kwa sasa hakuna ndege zinazopaa wala kutua katika uwanja wa JKIA.
Wafanyikazi hao wamegoma kufuatia hatua ya serikali ya kutaka kukondisha uwanja wa kimataifa wa JKIA kwa kampuni ya india Adani Holdings.
Imetayarishwa na Janice Marete