#Local News

IEBC: WENGI WA WAKENYA WANAPENDELEA AMADI- TIFA

Asilimia 41 ya wakenya wanapendekeza aliyekuwa msajili wa idara ya mahakama Anne Amadi ateuliwe kuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC.

Haya ni kwa mujibu wa matokeo ya utafiti wa shirika la TIFA, wengi wa wanaomuunga mkono Amadi wakiwa wenyeji wa Nairobi na Nyanza.

Kuhusiana na tajriba, asilimia 23 ya wakenya wanapendelea Charles Nyachae huku asilimia 15 wakipendelea Erastus Ethekon.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

IEBC: WENGI WA WAKENYA WANAPENDELEA AMADI- TIFA

‘MAZURI YA MGENI’ NAROK

IEBC: WENGI WA WAKENYA WANAPENDELEA AMADI- TIFA

KWANINI NG-CDF, NGAF

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *