#Local News

HOFU YA KUPUNGUA KWA NDOVU NCHINI

Wadau wa uhifathi wa mazingira wametoa wito wa kuratibiwa kwa juhudi za kuwalinda ndovu wa humu nchini.

Kupungua kwa kasi kwa Wanyama hao kunatokana na uwindaji haramu, uharibifu wa makazi yao na migogoro baina ya binadamu na wanyamapori.

Kulingana nao kenya ina ndovu 16000 ikilinganishwa na ndovu 20000 takribani miaka 38 iliyopita.

Imetayarishwa na Janice Marete

HOFU YA KUPUNGUA KWA NDOVU NCHINI

HAKI KWA DAISY WAWERU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *