#Local News

WABUNGE WALIHONNGWA KUPITISHA MSWADA, RUTO

Rais William Ruto ameiabua madai kwamba baadhi ya wabunge walipokea hongo ya mamilioni ya pesa kabla ya kupitisha mswada wa hivi majuuzi wa kukabili utakatishaji wa fedha yaani money laundering.

Akizungumza katika mkutano wa pamoja wa wabunge wa UDA na ODM mtaani Karen jijini Nairobi, Rais amesema ana ufahamu kuhusu upokeaji hongo bungeni, hatua anayosema imelemaza maendeleo.

Naye kinara wa ODM Raila Odinga, amependekeza jumumu la uangalizi wa magavana kuachiwa wawakilishi wadi na wala si maseneta.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *