#Local News

KUPPET KUANZA MAZUNGUMZO NA TSC

Chama cha walimu wa shule za upili na vyuo anuai cha Kuppet kitaanzia mazungumzo na tume ya kuwaajiri walimu Tsc kuhusu mkataba mpya wa mwaka wa 2025 hadi mwaka wa 2029.

Katibu wa kuppet Akelo Misori amewataka wanachama wake kuwa na subira wanapoanzisha majadiliano hayo na waajiri wa walimu baada ya kukamilika kwa mkataba uliokuwepo .

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *