#Local News

MAHAKAMA YA JUU YATUPILIA MBALI MAOMBI YA KESI YA GACHAGUA


Mahakama ya Juu imetupilia mbali maombi yaliyounganishwa yanayotokana na mvutano wa kisheria kuhusu kung’olewa madarakani kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, hatua inayofungua njia kwa rufaa kuu kusikilizwa.

Katika uamuzi wake mahakama hiyo ya juu imekataa maombi yaliyowasilishwa na Gachagua pamoja na Bunge la Kitaifa, bila kutoa amri yoyote kuhusu gharama za kesi.

Mgogoro huo ulianzia Oktoba 2024 baada ya Bunge la Kitaifa kupiga kura ya kumng’oa Gachagua madarakani, hali iliyoibua kesi kadhaa katika Mahakama Kuu kupinga mchakato huo. 

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

MAHAKAMA YA JUU YATUPILIA MBALI MAOMBI YA KESI YA GACHAGUA

GAVANA BARASA ATOA WITO WA UMOJA KWA

6 Expert Tips for Live Betting Success

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *