#Local News

KHALWALE: VUNJA BARAZA LA MAWAZIRI

Seneta wa kakamega Boni Khalwale amependekeza kuvunjwa baraza la mawaziri ikiwa ni miongoni mwa masuala anayofaa kuyatekeleza Rais William Ruto kutokana na malalamishi yaliyoibuliwa wakati wa maandamano.

Akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala, Khalwale ametaka wadhifa wa mkuu wa mawaziri ambao kwa sasa unashikiliwa na Musalia Mudavadi pia kuondolewa.

Aidha, amepndekeza kuondolewa kwa nyadhifa zisizo kwenye katiba kama vile CASs.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KHALWALE: VUNJA BARAZA LA MAWAZIRI

JALANG’O AOGOPA ‘MTEGO’

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *