#Local News

WAUZA MADINI KIHARAMU MASHAKANI

Serikali imetangaza kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote wanaojihusisha na visa vya usafirishaji haramu wa madini ambayo hayajasafishwa, visa ambavyo vimeisababishia serikali hasara ya mabilioni ya pesa.

Katika kikao na wanahabari, Waziri wa madini na raslimali za majini Ali Hassan Joho, amesema serikali inalenga kuwatuma maafisa kutoka idara ya migodi katika maeneo ya mpakani kwa lengo la kukabili visa hivyo na kuokoa mapato ya taifa.

Aidha, Joho amesema kuwa serikali itawatuma maafisa wawili katika kila eneo la kuingilia nchini ili kudhibiti shughuli hiyo haramu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAUZA MADINI KIHARAMU MASHAKANI

ELITE YABADILIKA KUA UNITED

WAUZA MADINI KIHARAMU MASHAKANI

POLISI 5 KUJUA HATMA YAO YA DHAMANA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *