#Local News

MACHAKOS: AFISA ALIANGUKA NA KUFARIKI AKIWA KATIKA NYUMBA YA KUPANGA

Afisa wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Muungano amefariki baada ya kuanguka katika nyumba yake ya kukodi katika Kaunti ya Machakos.

Kulingana na ripoti ya polisi raia Evans Adango ameripoti kisa hicho baada ya mkewe, Polisi Konstebo Pauline Adenyoh kupata shambulio la kifafa.

Maafisa wa kituo cha Muungano wameelekwa eneo la tukio na kumkimbizwa Hospitalini kwa matibabu lakini alikuwa tayari ameaga dunia.

Mwili wa marehemu umepelekwa katika chumba cha kuhifathi maiti ukisubiri uchunguzi

Imetayarishwa na Janice Marete.

MACHAKOS: AFISA ALIANGUKA NA KUFARIKI AKIWA KATIKA NYUMBA YA KUPANGA

MECHI YA KUFUZU KWA AFCON: OKWEMBA AISAIDIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *