#Rugby #Sports

IMPALA RFC WAKO TAYARI

Kocha mkuu wa Impala RFC Louis Kisia anasema timu yake iko tayari kwa mapambano makali watakapoandaa mashindano ya Impala Floodlit