#Local News

MARUFUKU YA USIKU YATEKELEZWA KAMIU BAADA YA MIIILI KUPATIKANA

Uchunguzi umeanzishwa kubaini chanzo cha mauaji ya vijana wawili katika kijiji cha Kamiu kaunti ya Embu baada ya miili yao kupatikana barabarani.

Mamlaka za eneo hilo zimeweka marufuku ya kutotoka nje usiku kuanzia saa tatu hadi saa kumi na mbili asubuhi huku chifu Sammy Njagi akionya kwamba yeyote atakayekiuka agizo hilo atachukuliwa kama mshukiwa wa visa vya ujambazi.

Miili hiyo, inayodhaniwa kuwa ya wanafunzi, ilikuwa na majeraha ya kimwili huku uchunguzi ukianzishwa kubaini chanzo cha vifo hivyo.

Imetayarishwa na Janice Marete

MARUFUKU YA USIKU YATEKELEZWA KAMIU BAADA YA MIIILI KUPATIKANA

OILERS WAPONGEZWA LICHA YA KUPOTEZA FAINALI KWA

MARUFUKU YA USIKU YATEKELEZWA KAMIU BAADA YA MIIILI KUPATIKANA

YIEMBE AITWA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA LA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *