#Local News

MAISHA NAMBA SI LAZIMA, BITOK

Wakenya hawawatalazimishwa kujisajili kwenye mpango wenye utata wa maisha namba, huku katibu mkuu katika idara ya uhamiaji Julius Bitok akisema serikali inalenga kutumia mfumo utakaowawezesha wakenya kujisajili kwa kujitolea.

Kauli yake imejiri wakati ambapo serikali imekuwa na mpango wa kufutilia mbali vitambulisho vinavyotolewa kwa sasa na kutoa vitambulisho vya Maisha namba kwa wanaotuma maombi.

Mbali na mahakama kuu kusitisha mchakato huo, wakenya wamekuwa wakilalamikia hatua ya kadi hizo kutumika kwa miaka 10 pekee kabla ya matumizi yake kukamilika.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *