#Local News

HONGERA KENYA KWA KUONGEZA KODI ZAIDI ; IMF

Shirika la kimataifa la fedha IMF limepongeza hatua ya serikali kuongeza kodi katika baadhi ya bidhaa na huduma mbali mbali katika mswada wa fedha.

Kwa mujibub wa IMF taifa la kenya litaongeza mapato yake na vile vile kuimarisha uchumi wake.

IMF aidha imesema serikali itaweza kutekeleza miradi ya maendeleo kupitia mapendekezo yaliyoko katika mswada huo.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *