#Local News

HUDUMA ZA AFYA HAZIPO KASKAZINI MWA BONDE LA UFA

Utoaji wa huduma katika Hosipitali za umma eneo la kaskazini mwa bonde la ufa utaendelea kutatizika zaidi baada ya maafisa wa kliniki kuhapa kuendeleza mgomo wao hadi malalamishi yao yatekelezwe.

Kwa mujibu wa muungano wa maafisa hao KUCO serikali imekosa kutekeleza makubaliano baina yao hali ambayo kulingana nao ni kutelekezwa.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *