WATU 25 NDIO WALIAGA DUNIA 400 WAKIJERUHIWA; WAZIRI KINDIKI ASEMA
Waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi prof Kithure Kindiki amepuuzilia mbali ripoti ya mashirika ya kutetea haki za binadamu kwamba watu 49 waliaga dunia na wengine 600 kujeruhiwa.
Katika mahojiano na kituo kimoja cha runinga humu nchini Kindiki amesema kuwa ni watu 25 pekee walioaga dunia na wengine 400 kujeruhiwa wakiwamo maafisa wa polisi 43.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































