#Local News

UCHUNGUZI WA AJALI YA NDEGE MOSOP

Ripoti ya awali kuhusu chanzo cha ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya watu 6 wikendi iliyopita katika eneo la Mosop kaunti ya Nandi inatarajiwa kutolewa ndani ya siku 30 zijazo.

Haya ni kulingana na Waziri wa uchukuzi Davis Chirchir, akisema matokeo ya uchunguzi huo yanatarajiwa kuangazia namna ndege hiyo ilivyotoweka baada ya kupaa.

Amekariri kujitolea kwa serikali kufanya uchunguzi wa kina.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UCHUNGUZI WA AJALI YA NDEGE MOSOP

WAKAZI WAMWOMBOLEZA NG’ENO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *