TUTAPANDA MICHE KILA SIKU KUANZIA JUMATATU

Rais William Ruto amesema Kwanzia jumatatu wiki ijayo shughuli ya upanzi wa miche itakuwa ikifanyika kila siku.
Akihutubu baada ya kuongoza hafla ya upanzi wa miti kwenye msitu wa kiambichu wa maragua kaunti ya muranga , rais Ruto amedokekla kuwa Waziri Musalia Mudavadi ataongoza shughuli hiyo ya upanzi wa miche jumatatu hiyo.
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































