#Local News

MAHAKAMA KUAMUA UUGIZAJI WA MCHELE

Mahakama ya Kerugoya kaunti ya Kirinyaga imeratibiwa kutoa uamuzi wake hii leo kuhusu iwapo serikali itaruhusiwa kuagiza mchele kutoka mataifa ya nje au la.

Hii ni baada ya chama cha wakulima wa mpunga kuwasilisha kesi mahakamani kupinga mpango wa serikali wa kuagiza tani elfu 500 za mchele ili kuziba pengo, waziri wa kilimo Mutahi Kagwe akisema wakulima nchini wamezalisha tani elfu 20 pekee.

Uamuzi huo utatolewa na jaji Edward Muriithi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAHAKAMA KUAMUA UUGIZAJI WA MCHELE

BABU AWATETEA WAHALIFU WALIOREKEBIKA

MAHAKAMA KUAMUA UUGIZAJI WA MCHELE

MAFUTA YAPUNGUA KWA SHILINGI 1

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *