#Football #Sports

OLUNGA: WAKENYA WAVUMILIE KOCHA MPYA WA STARS

Nahodha wa Harambee Stars, Michael Olunga, amesema Wakenya wanapaswa kuwa na subira na timu wakati wanajifunza mbinu za kocha mpya.

Mshambuliaji huyo anasema Benni McCarthy, aliyeteuliwa hivi karibuni kuwa kocha wa Stars kwa mkataba wa miaka miwili unusu, atakuwa na muda mfupi wa kuandaa kikosi kabla ya mechi ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Gambia Alhamisi mjini Abidjan, Ivory Coast.

Olunga anaamini Kenya bado ina nafasi ya kufuzu na anasema mechi mbili zijazo zitakuwa muhimu katika safari yao ya kihistoria.

Imetayarishwa na Janice Marete

OLUNGA: WAKENYA WAVUMILIE KOCHA MPYA WA STARS

NYORO: SIJUI KWANINI NILIFURUSHWA

OLUNGA: WAKENYA WAVUMILIE KOCHA MPYA WA STARS

MGOMO: MATIBABU YALEMAZWA MTRH

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *