WAKENYA KUPATA AJIRA IWAPO VYAMA VYA USHIRIKA VITAFUFULIWA

Wakenya watanufaika kwa kupata nafasi za ajira iwapo mipango iliyowekwa na serikali ya kufufua vyama vya ushirkika itafaulu.
Waziri wa vyama vya ushirika na vyama ndogo ndogo Wycliffe Oparanya amesema kuwa kufufua vyama vya ushirika ni muhimu vilivyosambaratika.
Oparanya aidha ameahidi kuhakikisha biashara ndogo ndogo zinalindwa kwa kuwa kulingana naye zinachangia pakubwa katika ukuaji wa uchumi wa taifa hili.
Imetayarishwa na Janice Marete