#uncategorized

NAIBU GAVANA WA KISUMU MATHEW OCHIENG OWILI AKASHIFU SERIKALI KWA KUTANGAZA UFUNGUZI WA SHULE

Naibu gavana wa kaunti ya Kisumu Mathew Ochieng Owili ameilaumu serikali kwa kutotathmini miundo msingi kabla ya kuagiza kufunguliwa kwa shule jana jumatatu.

Akihutubu katika shule ya msingi  ya Nanga Owili amesema baadhio ya shule zinahitaji maandalizi Zaidi kwani madarasa yameharibiwa na mafuriko.

Kauli yake inajiri wakati ambapo serikali iklitangaza kuwa shule zilizoadhiriwa kusalia kufungwa ukarabati wa miundo msingi ukifanya.

Owili aidha amesikitikia hali mbaya ya vyoo na kusema afya ya wanafunzi imo hatarini.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *