#Business

SERIKALI YATOA BILIONI 6.7B KULIPA MADENI YA WAKULIMA WA KAHAWA

Serikali imetenga Shilingi bilioni 6.7 kuwalipia madeni wakulima wa kahawa, huku kukiwa na onyo dhidi ya matumizi mabaya ya fedha hizo.

Hii ni baada ya ripoti ya Baraza la Mawaziri la Wizara ya Vyama vya Ushirika na Maendeleo ya Biashara Ndogo Ndogo na za Kati kuidhinishwa kusaidia wakulima kulipa madeni wanayodaiwa.

Wakati wa mikutano ya uhamasishaji kuhusu mikutano ya Hazina ya kahawa Coffee Cherry Advance Revolving Fund iliyofanyika mwaka jana, wakulima walimwomba Katibu wa Baraza la Mawaziri Simon Chelugui kutafuta njia ya kuondoa madeni ambayo, yalikuwa yakilemea vyama vya ushirika na wakulima.

Imetayarishwa na Maureen Amwayi

SERIKALI YATOA BILIONI 6.7B KULIPA MADENI YA WAKULIMA WA KAHAWA

CJ KOOME ATOA HATUA 7 ZA USALAMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *