#Local News

HOSIPITALI ZA MOMBASA HAZINA DAWA

Vituo vyote vya afya vya umma katika kaunti ya Mombasa vinakabiliwa na ukosefu wa dawa
katibu katika chama cha madaktari KMPDU tawi la pwani anasema kuwa miongoni mwa dawa hizo ni muhimu ikiwa ni Pamoja na ile ya kutuliza maumivu.

Imetayarishwa na Janice Marete

HOSIPITALI ZA MOMBASA HAZINA DAWA

BWAKE WATAWAZWA WASHINDI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *