HATUNA MUDA NANYI- WETANG’ULA KWA WAPINZANI
Spika wa Bunge la kitaifa Moses Wetang’ula amewaonya viongozi wanaopinga sera za serikali, akitaja ukosoaji wao kuwa kelele na kwamba haitawazingatia.
Akizungumza kwenye hafla ya masomo katika kaunti ya Bungoma, Wetang’ula amewashutumu viongozi wanaopinga kukodishwa kwa kiwanda cha Nzoia, na kusema kuwa wanatumia suala hilo kisiasa.
Kauli yake imesisitizwa na gavana wa Bungoma Ken Lusaka
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































