#Local News

MFUMO WA DIJITALI WA KUWACHUNGUZA WAFANYIKAZI WA UMMA KUBUNIWA.

Serikali itaanzisha mfumo wa dijitali wa kuwamulika wafanyikazi wa umma wanaozembea kazini.

Haya ni kwa mujibu wa waziri wa utumishi umma Georffrey Ruku anayesema mfumo huo utaweza kubaini wakati wafanyikazi hao wanaposili na kuondoka kazini.

Akiongea huko Embu Ruku anasema mfumo huo utakaozinduliwa rasmi mwezi Oktoba utawezesha serikali kutathmini utendakazi wa kila mfanyikazi wa umma.

Ni hatua ambayo pia itasaidia kuondoa tatizo la kuwepo kwa wafanyikaze hewa.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

MFUMO WA DIJITALI WA KUWACHUNGUZA WAFANYIKAZI WA UMMA KUBUNIWA.

ODM, UDA ZATOA AMRI KWA KAMATI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *