#International

TANZANIA YAWATAKA RAIA KUSALIA NYUMBANI

Serikali ya Tanzania imewahimiza raia wake wasio watoaji wa huduma muhimu kusalia nyumbani wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru itakayoadhimisha hapo kesho nchini humo.

Katika taarifa ya msemaji wa serikali hiyo Mussa Azzan Zungu amewataka wafanyakazi wa huduma za dharura pekee kuripoti katika maeneo yao ya kazi.

Maadhimisho hayo yanajiri huku wito ukisheheni mitandaoni kuwataka wananchi kushiriki maandamano siku hiyo kulalamikia ukandamizaji wa haki za raia.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

TANZANIA YAWATAKA RAIA KUSALIA NYUMBANI

RUSHWA, UFUJAJI TATIZO KUU- EACC

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *