SENETA CHIMERA RAPHAEL APENDEKEZA FEDHA ZA BASARI KUWEKWA CHINI YA UANGALIZI WA SERIKALI KUU
Seneta mteule Chimera Raphael Mwinzago anapendekeza usimamizi wa fedha za basari kuondolewa kwa wanasiasa na kuwekwa chinina uangalizi wa serikali ya kitaifa il k,uhakikisha elimu bila malipo kwa wote.
Kwa mujibu wa Chimera kiasi cha pesa kilicho mikononi mwa wanasiasa kama basari iwapo kitatumika ipasavyo kinaweza kusaidia katika juhudi za kuziba mianya ya elimu shuleni na hata kuimarisha ubora wa elimu kwa wakenya wote iwapo kitaunganishwa na kile kimetengewa wizara ya elimu.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































