WAZAZI WATAKIWA KUTUMIA RASLIMALI ZAO KWA UMAKINI

Wito umeolewa kwa wazazi kulinda raslimali walizonazo ili kuzuia maangaiko wakati wa kuwarejesha wanao shuleni mwaka ujao.
Gavana wa transnzoia George Natembeya amewaraoi wazazi kutumia vyema raslimali chache wazizonazo nwakati huu wa msimu wa krismass wakifahamu kwamba mwaka ujao watahitajika kuwalipia wanao karo ya shule,na kuendeleza shughuli nyingine za kiuchumi.
Natembeya aidha amewashauri wazazi kutenga md ana wanao na kuwasaidia kudurusu wanapokuwa nyumbani ili kuwaepusha na fikira za mimba za mapemba na vile vile kuwaepusha na uhalifu.
Imetayarishwa na Janice Marete