#Local News

SEKTA YA AFYA YAENDELEA KUATHIRIKA

Masaibu yanayoikabili sekta ya afya yameendelea kuongezeka kutokana na migomo ya mara kwa mara, hii leo viongozi wa muungano wa madaktari KMPDU wakiwaongoza wanachama wake kuandamana jijini Nairobi kuikosoa serikali kutokana na kudorora kwa sekta hiyo.

Madaktari hao ambao wameungana na watumishi wengine wa umma, wameandamana kutoka hospitali ya kitaifa ya Kenyatta hadi katika makao makuu ya wizara ya afya, wakilalamikia masuala kadhaa ikiwemo kufeli kwa mfumo wa afya SHA.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SEKTA YA AFYA YAENDELEA KUATHIRIKA

UCHUKUZI JOGOO WATATIZWA

SEKTA YA AFYA YAENDELEA KUATHIRIKA

NYORO: SIJUI KWANINI NILIFURUSHWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *