TORPEDO4D LINK ALTERNATIF TOGEL POOLS DAN LOTTO RESMI

TORPEDO4D merupakan link alternatif togel pools dan lotto resmi yang sudah ramai di mainkan karna hadiahnya yang selalu menggiurkan dan jika wd akan di proses tanpa ada syarat apa pun,Situs ini sudah lama berkembang di karenakan member setiap hari aktif sampai 10rb perhari nya.Jadi tidak ada perlu di ragukan lagi karna situs ini memiliki banyak […]

TRIAD4D • BANDAR SLOT ONLINE GAMES TERLENGKAP

Link TRIAD4D dikenal sebagai bandar platform resmi slot online dengan provider terlengkap yang memiliki games terlengkap. Tersedianya games terlengkap dan dapat dimainkan dengan menggunakan 1 akun vvip bandar TRIAD4D, slotters dapat dengan nyaman menikmati setiap games slot online yang disenangi.

TRIADTOTO • LINK DATA KELUARAN TOGEL MACAU

TRIADTOTO merupakan link resmi data keluaran togel macau terpercaya di Indonesia. Dengan link alternatif TRIADTOTO yang dapat diakses selama 24 jam, para pecinta togel macau dapat memperoleh data keluaran terupdate disetiap bettingan togel macau di situs TRIADTOTO.

HATUJENGI TUKUPE, UTAPANGISHA- WAZIRI WAHOME

Ushuru unaotozwa kama mfanyakazi kugharamia mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu si wa kununua nyumba, bali ni wa kutumika kujenga nyumba hizo. Ndiyo kauli ya waziri wa ardhi na nyumba Alice Wahome, akisema wakenya watahitajika kulipia kodi ya kila mwezi kuishi ndani ya nyumba hizo saw ana ilivyo kwa nyumba nyingine za kupanga. […]

ACHENI MZAHA, RAIS RUTO KWA WAKENYA

Wakenya wametakiwa kuondoa mzaha katika masuala yenye umuhimu kwa taifa, ikiwemo miradi ya maendeleo. Akirejelea ahadi yake ya kujenga barabara ya Garhe hadi Modogashe katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa nchi, Rais William Ruto amesema eneo hilo limetelekelezwa kwa miaka mingi na atahakikisha usawa. Imetayarishwa na Antony Nyongesa

AFUENI KWA MAJAJI WA MAHAKAMA YA UPEO

Ni afueni kwa majaji 7 wa mahakama ya upeo baada ya mahakama kuu mjini Narok kutoa agizo la kuzuia kwa muda tume ya huduma kwa Mahakam JSC kuwaagiza majaji hao wafike mbele yake kujibu malalamishi yaliyowasilishwa dhidi yao. Kwa mujibu wa mlalamishi kwenye kesi hiyo, agizo la JSC kuwataka majaji hao wafike mbele yake linakosa […]

SERIKALI YAOMBWA KUKABILI FUNZA KAKAMEGA

Serikali ya kaunti ya Kakamega na ile ya kitaifa zimetakiwa kuingilia kati na kusaidia katika kupambana na janga la funza kwenye shule za kaunti hiyo, ambalo linahofiwa kushusha viwango vya masomo. Wakizungumza baada ya juhudi za kuangamiza funza miongoni mwa wanafunzi katika maeneo ya Butere, Navakholo, Khwisero na Mumias Magharibi viongozi wakiwemo walimu wakuu wa […]

MBUNGE WA JUJA AKAMATWA NA DCI

Mbunge wa Juja kaunti ya Kiambu George Koimburi anaendelea kuhojiwa katika makao makuu ya idara ya upelelezi DCI baada ya kukamatwa ilia toe maelezo kuhusu matamshi yake kwamba serikali ilitumia shilingi bilioni 13 kwenye kampeni za aliyekuwa mwaniaji wa AUC Raila Odinga. Kukamatwa kwake kumejiri muda mfupi baada yake kudai kuwa magari mawili aina ya […]

SIASA MBAYA HATARI KWA MAENDELEO, KINDIKI

Kama njia mojwapo ya kuhakikisha kuwa miradi ya maendeleo iliyokwama katika eneo la Meru kutokana na tofauti za kisiasa, viongozi wa Meru wametakiwa kushirikiana ili kuwawezesha wakazi kunufaika na miradi hiyo. Akizungumza katika kikao na viongozi hao jijini Nairobi, Naibu Rais Kithure Kindiki amesema kuwa baada ya kustawisha uchumi, serikali inalenga kuwekeza katika miradi mbali […]

JUDE APEWA KADI NYEKUNDU

Jude Bellingham aliiongoza Real Madrid katika mechi ya mchujo ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Manchester City, lakini wiki yake ikabadilika haraka. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza alitolewa kwa kadi nyekundu katika kipindi cha kwanza huku Los Blancos wakiangusha pointi mbili katika mbio za kuwania taji la Uhispania Jumamosi uwanjani Osasuna. Kiungo huyo angalau […]