#Local News

ALIYEKUWA CHIFU WA EASTLEIGH KASKAZINI AHUKUMIWA

Mahakama ya rufaa jijini nairobi imeidhinisha hukumu ya aliyekuwa chifu wa Eastleigh kaskazini ,Paul Kuria kwa madai ya kupokea hongo kutoka kwa mkaazi mmoja akitaka stakabadhi za uraia kwa jamaa zake.

Katika utetezi wake, ngugi amedai kuwa alikamatwa na maafisa wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi eacc, akisema kwamba kukamatwa kwake kulichochewa kisiasa. 

Mahakama ya rufaa ilitupilia mbali rufaa hiyo kwa ujumla wake, na kuthibitisha hukumu dhidi ya chifu huyo wa zamani.

Imetayarishwa na Jones Koikai

ALIYEKUWA CHIFU WA EASTLEIGH KASKAZINI AHUKUMIWA

UPINZANI: KALONZO HAJI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *