#Local News

MWAKILISHI WADI NAIROBI AJIUZULU

Wakazi wa wadi ya Githurai 44 jijini Nairobi wamejipata bila mwakilishi katika bunge la kaunti ya Nairobi baada ya mwakilishi wao Mwangi Waithera kujiuzulu kwa misingi kwamba serikali ya kaunti hiyo imekosa kutekeleza miradi yake mikuu katika wadi hiyo.

Miongoni mwa miradi hiyo kulingana na Waithera ni ahadi ya kujengwa kwa uwanja wa michezo mbali na kuboreshwa kwa hospitali ya Githurai level 3, soko na barabara.

Spika wa bunge la kaunti ya Nairobi anatarajiwa kutangaza wazi kiti hicho kwa mujibu wa kipengee cha 194 cha katiba ya Kenya.

Imetaya Antony Nyongesa

MWAKILISHI WADI NAIROBI AJIUZULU

MVUTANO WA MFUMO WATISHIA HUDUMA

MWAKILISHI WADI NAIROBI AJIUZULU

KCB WAANZA KAMPEINI DHIDI YA TUSKER FC

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *