WAKENYA WANAOTAFUTA AJIRA NJE YA NCHI WATAKIWA KUJICHUNGA NA MASHIRIKA YANAYOWEZA KUWALAGHAI
Tahathari imetolewa kwa wakenya wanaotafuta ajira nje ya nchi kuwa makini wasilaghaiwe na mashirika 26 ambayo hayajasajiliwa na ser5ikal.i kuendesha shughuli hiyo.
Wizara ya leba kupitia Waziri Alfred Mutua amesema kuwa mashirika hayo hayajasajiliwa na mamlaka ya kitaifa ya ajira na kwamba hayana mamlaka wala leseni ya kuendesha shughuli zozote nchini.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































