MBUNGE WA GATUNDU KUSINI GABRIEL KAGOMBE MAHAKAMANI

Mbunge wa Gatundu Kusini Gabriel Kagombe anatarajiwa kufikishwa katika mahakama kuu ya Machakos kwa kujibu mashtaka yanayomkabili ya mauaji
Kagombe alifikishwa mahakamani mapema wiki hii lakin I hakujibu shtaka hilo baada ya serikali kuiomba mahakama kumruhusu afanyiwe uchunguzi wa kiakili
Mbunge huyo inaarifiwa alimuua David Nduati kwa kumpiga risasi mgongoni eneo la Kimocho thika makongeni kaunti ya Kiambu
Imetayarishwa na Janice Marete