#Local News

MTU MMOJA AFARIKI KATIKA AJALI YA BARABARA YA MERU-NAIROBI

Mtu mmoja ameaga dunia eneo la Kajiunduthi kaunti ya Tharaka Nithi kufuatia ajaliiliyotokea katika barabara kuu ya Meru-Nairobi.

Ajali hiyo imehusisha malori m awili na gari moja la kibinafsi huku walioshuihudia ajali hiyo wakisema kuwa gari hilo na kibinafsi na lori moja zilikuwa zikielekea upande mmoja wakati ajali hiyo imetokea.

Majeruhi wamekimbizwa katika hosipitali moja eneo hilo.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *